otázka | Odpoveď | |||
---|---|---|---|---|
boma, maboma
|
||||
bombo
|
||||
kudadavua
|
||||
Nilikuwa na matatizo mengi lakini sasa nimeyadadavua.
|
||||
kudadisa
|
||||
Mwanamke alijidadisa kanga huku akicheza ngoma kwa ufundi.
|
||||
dadu, dado
|
||||
dadu ya barafu, dadu za barafu
|
||||
figa, mafiga
|
||||
Hakuweza kupika vizuri kwa vile figa moja lilikuwa limekosekana.
|
||||
figa
|
||||
figa ya msichana
|
||||
figau
|
||||
figo
|
||||
fihi
|
||||
Mtu yule anaweza kukuwekea fihi juu yako kama umepata kazi nzuri.
|
||||
alifika kwenye mkutano
|
||||
gwagu, magwagu
|
||||
gwagu, magwagu
|
||||
jamidi
|
||||
Gundi imekuwa jamidi
|
||||
kujamii
|
||||
janaa
|
||||
Vitendo vyake viovu vimeiletea familia yake janaa.
|
||||
kiali, viali
|
||||
kiambatisho, viambatisho
|
||||
Mzamili aliviweka viambatisho mwisho wa tasnifu yake.
|
||||
kiambishi awali, viambishi awali
|
||||
kiambishi tamati, viambishi tamati
|
||||
mchambuzi, wachambuzi
|
||||
mchana kutwa
|
||||
mchanga mtifu
|
||||
chembe ya mchanga
|
||||
mchangamo
|
||||
fikira mchangamo
|
||||
mchangiaji, machangiaji
|
||||
mnyange, wanyangea
|
||||
mnyanyasaji, wanyanyasaji
|
||||
mwamko wa kisiasa
|
||||
sokomoko
|
||||
Sokomoko ilitokea jela baada ya wafungwa kutoroka.
|
||||
kutinga
|
||||
Ngalawa yao ilitinga kutokana na mawimbi makali.
|
||||
kutinga
|
||||
Vitendo vyake viovu vilitutinga sote.
|
||||
ukata
|
||||
kuvinginya
|
||||
Nyoka alivinginya wakati watu walipompiga kwa fimbo.
|
||||
Msichana alivinginya kifundi kwenye ngoma.
|
||||
kuvinjari
|
||||
Wananchi wamevinjari katika kupigania haki zao.
|
||||
kuabiri
|
||||
Aliabiri kwamba mvua itanyesha leo.
|
||||
kuabiri
|
||||
Kutokana na kifo cha wazee wake, ameabiri kwamba maisha ni magumu.
|
||||
kubomoa
|
||||
Ameibomoa mipango yangu.
|
||||
bomoko, mabokomo
|
||||
fika
|
||||
Niliielewa fika hotuba ya waziri.
|
||||
mnyofu, wanyofu
|
||||
mwanademokrasia
|
||||
mwanadiplomasia
|
||||
mwanaelimu
|
||||
mwanafalsafa
|
||||
Mwanadiplomasia alifukuzwa nchini kwa sababu ya ujasusi.
|
||||
mwanafasihi
|
||||
mwanafizika
|
||||
mwanahalali
|
||||
tingatinga, matingatinga
|
||||
uchongezi
|
||||
uke
|
||||
ukembe
|
||||
yeye bado yuko katika hali ya ukembe
|